2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5
USAFILI BODA 1000/
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LENYE MAKABATI
NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA
=====
KODI. 350,000/=X5 AU 6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
ANGALIZO
NYUMBA ITAKUA WAZI TAREHE. 20/9/2025
KUONA NA KULIPA NI LUKSA KABISA
====
CONT
0683234124
0718367179