2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA
INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI KUU YA MABASI YA MKOA
====
KODI. 350,000/=X6
UMBALI KUTOKA MAGUFULI STENDI NI KM 1. TUU BODA 1000/
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA NA CHOO CHA PABLIC
ZIPO TATU KWENYE FENSI
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















