2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA Inapangishwa ; #VYUMBA_VIWILI
Kodi ni Tsh 280,000/= kwa Mwezi
📍MBEZI KIBANDA CHA MKAA
đź’ŽVyumba Viwili (kimoja master)
đź’ŽSebule
đź’ŽJiko lenye Makabati
đź’ŽPublic toilet
đź’ŽMaji yapo
đź’ŽLuku yako
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347