2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







200,000 X6. 0759151524
BEBA HELA HAIJAWAI TOKEA
APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJA
IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,
PKPK 1000/=
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE
CHUMBA KIMOJA MASTER
CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 200,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437