2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(450,000X6)MBEZI MWISHO DK 5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
➖➖➖➖➖➖➖➖
Ni Appartment ya familia yenye
>Vyumba (2) VIWILI vya kulala,Seble kubwa, jiko na public thoilet(nje na ndani).
>AC kubwa sebleni.
>AC ipo pia chumba cha MASTABEDROOM.
>Jiko lenye makabati ya vyombo.
>Choo cha pablic cha ndani na nje pia kipo
>karo la kuoshea vyombo uani
>Baraza nyuma na mbele ya nyumba.
>Makabati ya nguo yapo vyumba vyake vyote.
>Madirisha ni ya vioo + finishing ya kisasa kabisa! >Inajitegemea LUKU yake >Mita yake mwenyewe ya Dawasco.
>Parking ya kupaki gari 4
>Garden na maua nje
>Ulinzi wa USIKU ni bure
>CCTV camera 24hrs
>USAFI wa Nje ni bure kila siku
>Uzoaji wa taka ni bure
>Panafikika kirahisi dakika 5 kutoka lami
KODI
ni TSH 450,000/= kwa mwezi . Tunapokea MIEZI (6)
Itakua wazi kuanzia Juma pili trh 09/02/25 🙏
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453