2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI YA KISASA YA KIFAMILIA
INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM. 1,5
USAFILI BODA. 1000/=
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
ZIPO MBILI KWENYE FENSI MOJA NDIO IPO WAZI
====
KODI. 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000
DALALI. 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
Cont
0683234124
0718367179



















