2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO KATIKATI YA MSUGULI NA KIBANDA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 6 KUTEMBEA TOKA ROAD
SIFA YANYUMBA
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INA SEBULE INA DINING INAJIKO KUBWA INA PABLICK TOILET INABARAZA MBELE NA NYUMA
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
NDANIYA FENSI KUNA NYUMBA 5 KILAMOJA INAJITEGEMEA KWAKILA KITU
KODI 400X 6 SIO CHINI YA MIEZI 6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA KAMA UKILIPIA NYUMBA HII
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
PIGA SM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA