2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBEZI BEACH JOGOO๐
BEI MILLION 130๐
CLEAN TITLE DEEDโ
NYUMBA INA PANDE MBILI ZOTE ZINA WAPANGAJI
KUBWA INA VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER KODI LAKI 4
SERVANT COTTER INA CHUMBA SEBULE NA CHOO CHAKE KODI LAKI MBILI NA NUSU
UKUBWA WA ENEO SQMT 300
NJOO KAGUA NYUMBA BEBA DOCUMENTS NENDA WIZARA YA ARDHI KAFANYE SEARCH TUMALIZE BIASHARA
MITA CHACHE KUTOKA BAGAMOYO ROAD
SERVICE CHARGE 50K๐
โ๏ธ๐ 0746 433 854