2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma







#APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA
LOCATION: #KIMARA_SUKA
UMBALI DAKIKA 3 KWA MGUU
#KODI 500,000X5
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#FULL AC SEBULENI NA VYUMBANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI BULE KABISA
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT TATU
NA HII MOJA NDO INA FAULISHWA MTEJA KAHAMISHWA KIKAZI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UKILIPIA ANATOA VYOMBO UNAINGIA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Simu
0679997610
0610097610
Msigwa