2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma







APARTIMENT MZURI SANAAAA INAPANGISHWA IPO SUKA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MJINI DK 12 KUTEMBEA BODA ELF 1
VYUMBA VIWILI VYAKULALA SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA SANA NA PUBLIC TOILET AINA MASTER INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
KODI 250 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CAL
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747