2 Bedrooms House for Rent at Mlimani, Morogoro


Nyumba
@
Inapangishwa
@
Bei 350.000 kwa mwez
@
Mahali savei mlimani cty
‘@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Umeme mita yako maji shea
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687