2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha


Nyumba ya bedroom 2 ina pangishwa jijin Arusha moshono stand
Ina bedroom 2 yenye kabati
Ina Master room
Ina sitting room
Ina kitchen yenye kabati
Ina public toilet
Ina heater system
Ina Electric Fance
Ina maji ya Auwsa 24 hrs
Stand alone
Bei 500000 ilipwe kwa miezi 6
Location moshono stand
0753503791/0784457400