2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Ni Room Mbili Zakulala Moja Master
Ina Sebule Kubwa
Ina Public Toilet
Ina Hetaer System
Inajitegemea yenyewe kwenye compound
Ina Parking kubwa
Ipo mita 50 tuu kutoka lami
Bei 500,000 kwa mwezi
.
Contacts - 0683545452