2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha
INAPANGISHWA MOSHONO KWA BABA D ARUSHA
NI NYUMBA YENYE ROOM MBILI ZA KULALA MOJA MASTER
INA SEBULEE KUBWA
INA JIKO
INA CHOO NDANI CHA PUBLIC
INA HEATER YA MAJI MOTO
INA PARKING
BEI 350,000 KWA MWEZ
CALL 0758105801