2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha
INAPANGISHWA MOSHONO LAIZER ARUSHA
🔹️Ni nyumba yenye room mbili za kulala haina mastter
🔹️Ina sebule
🔹️Ina jiko lenye makabati
🔹️Ina public toilet na bathroom
🔹️Ina heater ya maji moto
🔹️Ina parking
🔹️wapangaji wawili tu
🔹️Bei 300,000 kwa mwez
👉Call 0758105801