2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO CLUB D
Ni nyumba yenye room 2 za kulala haina master
Ina makabati vyumban
Ina sebule na dairning
Ina Public Toilet
Ina Jiko lenye makabati
Ina Parking
Bei 280,000/= Kwa Mwezi
Ilipwe kodi ya miez 6
Wapangaji 2
Mita 120 toka lami
Mtaa mzur wenye security
Sevirce charge kuona 10k
0789181514//0745181525