2 Bedrooms House for Rent at Nyegezi, Mwanza


NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA NYEGEZI
-ina vyumba viwili vya kulala ( self contained moja ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-nyumba ina AC, Heater, makabati, Feni, car parking space, water reserve tank na public toilet ya nje
-umeme na maji unajitegemea
-kodi 500,000 kwa mwezi
NB:-
*nyumba zote 2 zipo wazi
☎️ 0743220097