2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO. MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA NA UMEME UNAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KWA RAIS
KODI 150000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.