2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBULE, JIKO NA CHOO CHA NDANI PUBLIC.. HAINA MASTER.
MAJI NA UMEME MITA YAKUJITEGEMEA. NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
LOCATION: PUGU KONA
KODI: 160000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111