2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBULE NA JIKO ZURI, CHOO CHA NDANI PUBLIC. NYUMBA INAFENI VYUMBA VYOTE, MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI MASAA 24.
MITA YA MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA YENYEWE.
KODI: 200000 X 3
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.