2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA (NI MPYAA) NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE KUBWA NA JIKO KWA NNJE, DIRISHA INAWEKWA KIOO.
MAJI INAJITEGEMEA UMEME INASHEA WAWILI.
KODI: 160,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI
CONTACT 0614130017