2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA (NYUMBA MPYAAA)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (HAINA MASTER), SEBULE, JIKO, FENI VYUMBA VYOTE NA CHOO PUBLIC CHA NDANI KIMEKAA SEHEMU NZURI.
MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA. TENKI LA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI, FENSI INAWEKWA WIKI HII.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.