2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA, IKO YENYEWE KWENYE FENSI. NI MPYAAAA!
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (VYOTE MASTER) VIKUBWA SANA | SEBULE KUBWA YANYE FENI | JIKO LA NDANI NA NNJE | MAJI YAPO DAWASA.
LOCATION: PUGU KIGOGO FRESH
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
CONTACT: 0614130017
0788156493
0760053111