2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER YENYE KABATI), SEBULE, JIKO NA STOO KUBWA, CHOO CHA NDANI PUBLIC NA DIRISHA KIOO, MAJI YANATOKA NDANI (DAWASA).
MITA YA MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA.
LOCATION PUGU KAJIUNGENI
KODI: 200000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU, MAONGEZI FIKA SITE.
CONTACT