2 Bedrooms House for Rent at Sakina, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
Ina Room Mbili zakulala Moja Master
Ina Sebule
Ina jiko lenye makabati
Ina Public Toilet
Ina Parking
Full Paving blocks
Ina Heater System
Bei 450,000 kwa Mwezi
Nyumba ipo Mita 100 tuu kutoka Lami
.
Contacts- 0683545452