2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Chama.
- Vyumba viwili (vyote master)
- Vyumba vyote vina makabati
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Gym
- Paving
- Parking
- Electric fence
Kodi 800,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890/=.