2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho.
- Vyumba viwili (hakuna master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Dakika 5 kutoka kituoni
UKARABATI ANAFANYA.
Kodi 300,000/= mbaka 250,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 +255 688 412 890