2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa sh 300000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 na kuendelea, location tabata kinyerezi songasi dar es salaam Tanzania
🏡Sifa ya nyumba
✔️ Sebule kubwa
✔️ Vyumba 2 vya kulala vyote ni master
✔️jiko kubwa
✔️ Public toilet ya nje na bafu
✔️ Parking kubwa
✔️Maji masaa 24
✔️ Umeme na maji unajitegemea
✔️Hizi nyumba ni mpya 💯
✔️ Fence
✔️ Peving block & reserve water tank
✔️Hapa kuna apartments 6 ndani ya fence
✔️ Kutembea kwa mguu dakika 5 -8
✔️ Bajaji sh 500
✔️ Bodaboda sh 1000
🏡Mteja changamuka nyumba azikai
✔️Muhitaji piga sim
☎️ Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
✔️ Kupelekwa kuonyeshwa nyumba kuanzia moja na kuendelea sh 20000
✔️ Endapo ulipapo nyumba pesa ya dalali sawa na kodi ya mwezi 1
✔️ Follow me dalali mchina tabata kinyerezi, istagram, Facebook & tik tok, Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania