2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking
- Fence
- Wapangaji wawili
- Dakika 2 kutoka kituoni
Kodi 350,000/=.
MKATABA UNAANZA MWEZI WA TATU KULIPA RUKSA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.