2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa sh 250000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, sebule, vyumba 2, jiko lenye makabati, 2 heater ,public toilet, no master bedroom, reserve water tank, parking, fence, umeme na maji unajitegemea, distance dakika 6-8 kwa mguu, Location tabata kinyerezi mbuyuni round about dar es salaam Tanzania.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga đź“ž 0688 412 890.