2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Kimanga Mwisho.
- Vyumba viwili
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
- Dakika 1 kutoka kituoni
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.