2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYAA IPO TABATA AROMA
ROUND ABOUT YA RELIN TABATA
JIRANI NA SANT MARRY CHUO
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Vyumba anafunga makabati
- Sebule
- Jiko (anaweka makabati)
- Public toilet
- Water heater kote
- A/C kote
- Parking
- Paving anaweka
- Electric fence
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Kuna kisima
- Kuna mlinzi wa kampuni
- Dakika 0 kutoka lami kuu
- Wapangaji wanne
Kodi 600,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688991244
O677370515