2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO TABATA AROMA IPO JIRANI NA LAMI
NYUMBA NI NZURI NA YA KISASA MAZINGIRA YAKE YAPO SALAMA KABISA PIA PAKING SPACE IPO KUBWA
KODI 700,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
YENYE:
Vyumba Viwili vya kulala Kimoja ni Master, Sebule Kubwa, Jiko zuri lenye Makabati, Choo/Bafu vya ndani public
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
SURVICE CHURGE NI 20 KWA ZOEZI LOTE MPAKA UPATE NYUMBA,
MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI 1 KULINGANA NA KIWANGO CHA KODI YA NYUMBA KWA MWEZI
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA O677370515
0688991244