2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Aroma.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Dakika 2 kutoka kituoni
Kodi 450,000/=.
Mtu anahama tarehe 25 kuona na kulipia ruksa.
Muhitaji piga 0688 412 890.