2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya Tabata Relini.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko (anaweka makabati)
- Public toilet
- Water heater
- A/C anaweka
- Parking
- Paving anaweka
- Electric fence
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Kuna kisima
- Kuna mlinzi wa kampuni
- Dakika 0 kutoka lami kuu
- Wapangaji wanne
Kodi 600,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga š 0688 412 890.