2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 05/04/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO YA GARI 2 NDOGO
#LUKU 2 ILA INAWEKWA YA KWAKO PEKE YAKO
#MAJI NI DAWASA NDANI
#PIA UKILIPIA NYUMBA HII UNA FREM YA NJE UKIAMUA KUFANYA BIASHARA AU KUPANGISHA WEWE TU
#LOCATION UBUNGO KIBO/ LOMBO DK 4 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0710614924
#0688653940