2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNATOKEA UBUNGO DK 12 KUTEMBEA BODA 1000/
MUUNDO WAKE
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE INAJIKO INAPABLICK TOILET PIA INABARAZA MBILI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
ZIPO NYUMBA TANO NDANI YA FENSI MOJA KILA APARTIMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
FULL PEVING BLOCK
KODI 350/ X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















