2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT KALI SANA BEI 350k ZIPO 2 TU NDANI YA FENSI
LOCATION UBUNGO MAKOKA DK 6 KWA MGUU ADI 7
SIFA ZA NYUMBA π
#INAVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBRE KUBWA
#JIKO LITAJENGWA ENDAPO UTALIPIA KODI
#PABLICK TOILET NDANI
#UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFROO SAA24
#MADILISHA KIOO
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPECE KUBWA
#PEVING BLOCK SAFI
BEI 350k x6
PIGA CM NDUGU MTEJA WANGU UJE UKAE SAHEM SALAMA NA UTURIVU MZURI NO KIPENGELE
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347