2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Ubungo Riverside.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Store
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 300,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 +255 688 412 890