2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KUPANGA 350K X6
KODI LAKI TATU NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA HAPA
LOCATION
UBUNGO EXTRENAL MIGOMBANI UNAWEZA PITIA TABATA SEGEREA AU TABATA KIMANGA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE
#JIKO ZURI LA MAKABATI
#DINNING ROOM
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA MAZURI YA VIOO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI SEHEMU ZA KUMPUMZIKA MAZINGIRA MAZURI SANA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
NYUMBA HIZI ZINAWALINZI WA KAMPUNI WANALIPWA NA MWENYE NYUMBA USALAMA WA UHAKIKA