2 Bedrooms House for sale at Bagamoyo, Mbeya


SHAMBA HILI LINAUZWA
LIPO MKOA WA PWANI NAGAMOYO (MWAVI)
KILOMITA 2 TU TOKA BAGAMOYO ROAD
SHAMBA KWA UJUMLA LINA HEKA 60.
SHAMBA LIMEPIMWA NA RAMANI IMESHATOKA HATI IPO KWENYE PROSES ATAITOA KWA JINA LA MTEJA WATAKAEKUBALINA.
NDANI YAKE KUNA NYUMBA YA GOROFA MOJA INA VYUMBA 2 JUU NA CHINI 2.
ENEO LILILO KWENYE FENS NI SQM 4000 HEKA MOJA.
KUNA MIFUGO NDANI YAKE NG’OMBE 50 NA MBUZI NA KONDOO 400.
BARABARA NI KUBWA INAPITA HAPO KUELEKEA VIWANDANI
ANAUZA NA KILA KILICHOMO NDANI YAKE.
BEI NI SH ML 450 MAONGEZI.
MAJI SAFI YAPO NA UMEME.
KATI YA NG’OMBE 50 KUNA NDAMA 6
Contact call 0712531657
0789731695