2 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam
ENEO LINA NYUMBA MBILI PAMOJA NA KIWANJA LINAUZWA
___________
LOCATION: Bunju B - Sokoni
___________
ENEO LOTE: Lina Sqm 5000 (Eka Moja na Robo)
Kutoka Bunju B Sokoni mpka kwenye Eneo ni Mita 500
Ndani ya Eneo kuna:-
1.Nyumba 2 za vyumba 3, 1 Master, Sebure, Dinning, Kitchen, Store na Public Toilet.
Kila nyumba ina Hati yake kamili ya Wizara.
2. Kiwanja chenye ukubwa Wa Sqm 2000.
Kiwanja pia kina Hati yake na kina Fensi inayojitegemea.
Jumla eneo lote lina Hati tatu tofauti za Wizara
___________
BEI YA ENEO LOTE: TSH MIL 400 Ila Maongezi yapo.
NOTE:Ukitaka kununua Kimoja wapo pia inawezekana.
Call/WhatsApp:0687800788