2 Bedrooms House for sale at Buswelu, Mwanza
NYUMBA SITA (6) KWA PAMOJA ZINAUZWA BUSWELU
-nyumba 5 kati ya hizo ni chumba kimoja self contained, sebule na jiko, Na nyumba 1 ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni Sqm 1,796
-ina hati miliki
-bei Mil 90
NB:-
Nyumba ya pili (2) kutoka barabara ya lami
📞 0743220097