2 Bedrooms House for sale at Buzuruga, Mwanza
ENEO LA KIBIASHARA LINAUZWA MWANZA BUZURUGA SHULE
UKUBWA WA ENEO : Square metres = 4,960
MAJENGO YALIYOMO
Nyumba za makazi (Moja ya familia nyingine ya wapangaji) zipo mbili
Vyumba vya biashara eneo la mbele barabarani vipo 18
Eneo la garage workshop yapo matatu
Godown stores zipo mbili
Choo cha kulipia vipo 2
Kuna eneo kubwa la kupaki magari ya kulipia
BEI NI TSH MILIONI 950
📞 0743220097