2 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
INAUZWA CHANIKA MWISHO
BEI TSHS 65,000,000
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTER BEDROOM SITTING ROOM DINING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA STOO
NDOGO INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA PUBLIC TOILET NA FREM MBILI ZA BIASHARA
UKUBWA WA ENEO SQM 600
WOTE MNAKARIBISHWA