2 Bedrooms House for sale at Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA NA ENEO LAKE INAUZWA KIBAMBA HONDOGO KWA SHIJA
ukubwa wa eneo SQM 600
Ukubwa wa nyumba vyumba 2 vya kulala na sebule na kuna Vyumba vingine Vya kukamilisha Raman
Bei Mil. 45 MAONGEZI YAPO
Huduma zote Muhimu zipo hapa
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0679447338
0753454167