2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
*Nyumba inauzwa Kigamboni-Chekechea*
*Distance* Kutoka main road ya Mikwambe ni 1KM
-Nyumba ina vyumba vyumba v3 vya kulala, master bedrooms 2, kitchen juu ghorofani, sitting room, dining room,
-Fremu moja ya biashara
-Chumba cha mlinzi nje na choo chake
-Swimming pool
-Plot size Sqm 400
-Document: Hati ipo kwenye process
*Bei shilingi milioni 140 maongezi yapo*
Service charge elf 30
Cont 0715 423 267 / 0755 454 251