2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam







APARTMENTS 9, TSHS.230 MILIONI,KIGAMBONI.
Hapa kuna Apartment 8 za Chumba kimoja na
Sebule na Mija ina Vyumba viwili, Sebule na Jiko lake.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________UkO
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.