2 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA MBILI PAMOJA, TSHS.30 MILIONI, KIMARA MWISHO/KWA MASHAKA
Ni umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba KUBWA Ina vyumba 2 (1 Masta)
Sebuke,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Pia ipo Nyumba nyingine yenye Vyumba 2 (Kila Kimoja Choo ndani)
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuikagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.