2 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
🗯️ KIMARA SUKA
📍 350,000/= *6
_________
___
📌 Umbali wa dakika 12 tu Kwa Kutembea
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo Master kubwa)
• Sebule kubwa
• Jiko
• Public toilet ndani
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Parking
* Ndani ya Fensi Zipo Mbili tu
* Paving Blocks
• Mazingira TULIVU Na Mazuri
#Upande wa kulia kama unaenda Mbezi
📌 Note:- Inakuwa wazi tarehe tarehe 15/08/2024, kuona na kulipia ruksa
______
📌 *MUHIMU SANA*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 350,000/=
______
0753-172-516